KAMBI YA MATIBABU YA KICHWA,UBONGO,MGONGO,MISHIPA YA FAHAMU, PUA KOO NA MASIKIO KUANZA SEPTEMBER 28 MWANZA
Usikubali maumivu ya kichwa, ubongo, mgongo na uti wa mgongo kuendelea kukusumbua. Royal Zonal Referral Hospital – Mwanza, kwa kushirikiana na Andalusia Hospital – Cairo, Egypt, chini ya uratibu wa Tanlink Medical Tourism Agency, inakuletea Kambi ya Uchunguzi na Matibabu ya Kichwa, Ubongo, Mgongo, Uti wa Mgongo na Bobezi. 🩺 Huduma zitakazotolewa zinahusisha:✅ Uchunguzi na …









