Uncategorized

KAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI YA MFUMO WA MKOJO KUFANYIKA AGA KHAN DAR ES SALAAM

HOSPITALI YA AGAKHAN YA JIJINI DAR ES SALAAM KWA KUSHIRIKIANA NAYASHODA HOSPITAL KUTOKA JIJINI HYDERABAD NCHINI INDIA CHINI YA URATIBUWA TANLINK MEDICAL TOURIM AGENCY , WANAKULETEA HUDUMA YA KAMBI YAUCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KWA MAGONJWA YA: MFUMO WA MKOJO KWA WANAUME MFUMO WA MKOJO KWA WANAWAKE MFUMO WA MKOJO KWA WATOTO MFUMO …

KAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI YA MFUMO WA MKOJO KUFANYIKA AGA KHAN DAR ES SALAAM Read More »

Tanlink Medical Tourism Agency Yapokea Ugeni Kutoka MOI

Tanlink Medical Tourism Agency leo imepata heshima ya kupokea ugeni kutoka Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) katika ziara ya kikazi iliyolenga kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili. Ziara hiyo imeonesha dhamira ya pamoja ya kuendelea kushirikiana katika kufanikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi kupitia ushirikiano unaojenga thamani na kuongeza fursa za …

Tanlink Medical Tourism Agency Yapokea Ugeni Kutoka MOI Read More »

Tanlink Medical Tourism Agency Yatoa Huduma za Uchunguzi wa Afya Bure Katika Sendoff ya Monalisa Buyamba, Katoro – Geita

Katoro, Geita – Tanlink Medical Tourism Agency imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kusogeza huduma za afya karibu na jamii kwa kushiriki katika hafla ya Sendoff ya Monalisa Buyamba, binti wa Sylvester Buyamba, ambapo ilitoa huduma za uchunguzi wa afya bila malipo kwa wageni waliohudhuria tukio hilo. Huduma hiyo iliwapa washiriki nafasi ya kufanya uchunguzi wa …

Tanlink Medical Tourism Agency Yatoa Huduma za Uchunguzi wa Afya Bure Katika Sendoff ya Monalisa Buyamba, Katoro – Geita Read More »

KAMBI MAALUM YA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIBINGWA YA MAGONJWA YA MACHO YAZINDULIWA DAR ES SALAAM

Dar es Salaam, Tanzania – Tanlink Medical Tourism Agency kwa kushirikiana na International Eye Hospital – Dar es Salaam pamoja na Andalusia Hospital kutoka Cairo, Misri, wamezindua rasmi kambi maalum ya uchunguzi na matibabu ya kibingwa na ubobezi wa magonjwa ya macho, ambayo itakuwa ikiendelea kuanzia tarehe 29 Juni hadi 03 Julai 2026. Uzinduzi wa …

KAMBI MAALUM YA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIBINGWA YA MAGONJWA YA MACHO YAZINDULIWA DAR ES SALAAM Read More »

ZIFAHAMU HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA KWENYE KAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA KWA MAGONJWA YA MACHO DAR

Tanlink Medical Tourism Agency kwa kushirikiana na International Eye Hospital ya Dar es Salaam na Andalusia Hospital kutoka Cairo, Misri, wanakukaribisha kushiriki katika kambi maalum ya siku tano ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya macho. 📅 Tarehe: 29 Juni – 03 Julai 2026📍 Mahali: International Eye Hospital, Kinondoni – Morocco, Dar es Salaam Huduma …

ZIFAHAMU HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA KWENYE KAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA KWA MAGONJWA YA MACHO DAR Read More »

KAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KWA MAGONJWA YA MACHO KUFANYIKA DAR ES SALAAM

Tanlink Medical Tourism Agency kwa kushirikiana na International Eye Hospital – Dar es Salaam na Andalusia Hospital kutoka Cairo, Misri, wanakukaribisha kwenye kambi maalum ya uchunguzi na matibabu ya kibingwa na ubobezi wa magonjwa ya macho. Huduma zitakazotolewa ni pamoja na:✅ Macho mekundu✅ Uoni hafifu na kupungua uwezo wa kuona✅ Mtoto wa jicho (Cataract)✅ Pressure …

KAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KWA MAGONJWA YA MACHO KUFANYIKA DAR ES SALAAM Read More »

KAMBI YA YA KIBINGWA NA BOBEZI YA MACHO CHINI YA MADAKTARI KUTOKA MISRI NA TANZANIA KUFANYIKA DAR

Tanlink Medical Tourism Agency kwa kushirikiana na hospitali bingwa ya macho International Eye Hospital na Andalusia Hospital ya nchini Misri wanakuletea Kambi Maalum ya Uchunguzi na Matibabu ya Kibingwa ya Magonjwa ya Macho. Huduma hii itafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 16 Aprili 2026 katika Hospitali ya International Eye iliyopo Kinondoni Victoria ( karibu na Morocco …

KAMBI YA YA KIBINGWA NA BOBEZI YA MACHO CHINI YA MADAKTARI KUTOKA MISRI NA TANZANIA KUFANYIKA DAR Read More »