HUDUMA YA KUSIMAMIA USAFIRISHAJI WA WAGONJWA
Je, umewahi kujiuliza ni jinsi gani mgonjwa anaweza kusafirishwa kwa usalama kutoka eneo moja kwenda lingine anapohitaji matibabu maalum? Tanlink Medical Tourism Agency tumebobea katika huduma za kusafirisha wagonjwa (patient transfer services) kwa usalama, weledi na uangalizi wa karibu. Tunahakikisha mgonjwa anafika hospitalini, anapata matibabu anayohitaji na hata kurudi nyumbani bila changamoto. Huduma hii ni …




