Usikubali maumivu ya kichwa, ubongo, mgongo na uti wa mgongo kuendelea kukusumbua. Royal Zonal Referral Hospital – Mwanza, kwa kushirikiana na Andalusia Hospital – Cairo, Egypt, chini ya uratibu wa Tanlink Medical Tourism Agency, inakuletea Kambi ya Uchunguzi na Matibabu ya Kichwa, Ubongo, Mgongo, Uti wa Mgongo na Bobezi.
🩺 Huduma zitakazotolewa zinahusisha:
✅ Uchunguzi na matibabu ya uvimbe kichwani na kwenye ubongo
✅ Maumivu sugu ya kichwa
✅ Magonjwa ya mishipa ya damu kwenye ubongo
✅ Maumivu sugu ya mgongo na matatizo ya pingili za uti wa mgongo
✅ Nyama za puani na matatizo ya puani
✅ Uvimbe shingoni na kwenye koo
✅ Kupoteza uwezo wa kuona na kusikia
📅 Tarehe: 28 Septemba – 02 Oktoba 2026
📍 Royal Zonal Referral Hospital, Mwanza – Ilemela, Mwanza
⚠️ Usisubiri maumivu yaongezeke. Jisajili mapema kabla ya tarehe 28 Septemba 2026.
📞 Kwa maelezo na usajili:
0654-725-770 | 0760-00-35-35

