KAMBI MAALUM YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KWA MAGONJWA YA FIGO, MFUMO WA MKOJO NA MFUMO WA UZAZI KWA WANAUME

Magonjwa ya figo, mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi kwa wanaume ni miongoni mwa changamoto kubwa za kiafya zinazowaathiri watu wengi, wanawake na wanaume, watoto na watu wazima. Changamoto hizi mara nyingi huanza taratibu lakini zinaweza kusababisha madhara makubwa kama kuharibika kwa figo, maumivu makali, kushindwa kudhibiti mkojo, au kupungua kwa ubora wa maisha …

KAMBI MAALUM YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KWA MAGONJWA YA FIGO, MFUMO WA MKOJO NA MFUMO WA UZAZI KWA WANAUME Read More »

EPIDURAL STEROID INJECTIONS (ESIs) – MATIBABU YA KISASA YA MAUMIVU YA MGONGO KCMC

Je, unasumbuliwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu? Maumivu ya mgongo ni tatizo linalowaathiri watu wengi na mara nyingi huathiri ubora wa maisha, utendaji kazini na ustawi wa mwili kwa ujumla. Ikiwa unapitia mojawapo ya changamoto zifuatazo, makala hii ni muhimu sana kwako: Sasa kuna suluhisho la kisasa, salama na lenye ufanisi. EPIDURAL STEROID …

EPIDURAL STEROID INJECTIONS (ESIs) – MATIBABU YA KISASA YA MAUMIVU YA MGONGO KCMC Read More »

MATIBABU YA KISASA YA TEZIDUME (BPH) KUPITIA REZUM WATER VAPOR THERAPY – KCMC MOSHI

Je, unasumbuliwa na tatizo la Tezidume (Prostate Enlargement)? Kama umekuwa ukikabiliwa na changamoto zifuatazo, basi makala hii ni muhimu sana kwako: Sasa suluhisho limepatikana. REZUM WATER VAPOR THERAPY NI NINI? REZUM Water Vapor Therapy ni tiba ya kisasa kabisa ya matibabu ya tezidume (Benign Prostatic Hyperplasia – BPH) inayotumia mvuke maalum wa maji (steam) kuondoa …

MATIBABU YA KISASA YA TEZIDUME (BPH) KUPITIA REZUM WATER VAPOR THERAPY – KCMC MOSHI Read More »

Zifahamu Huduma zitakazotolewa kwenye Kambi ya matibabu KCMC Januari 26

ZIFAHAMU HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA KWENYE KAMBI MAALUM YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI ITAKAYOFANYIKA KATIKA HOSPITALI YA KCMC KWA KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI YA SAHYADRI, KUTOKA JIJINI PUNE NCHINI INDIA CHINI YA URATIBU WA TANLINK MEDICAL TOURISM AGENCY MNAMO TAREHE 26 HADI 31 JANUARY 2026 ILI KUSHIRIKI KATIKA KAMBI HII YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KWA …

Zifahamu Huduma zitakazotolewa kwenye Kambi ya matibabu KCMC Januari 26 Read More »

KAMBI MAALUM YA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KUFANYIKA JANUARI 26

TANLINK MEDICAL TOURISM AGENCY kwa kushirikiana na Hospitali ya KCMC – Moshi na Sahyadri Hospital – Pune, India, wanakuletea kambi maalum ya siku 5 (26–31 Januari, 2026) kwa huduma za uchunguzi na matibabu ya kibingwa na bobezi. Huduma zitakazotolewa ni pamoja na:• Magonjwa ya kichwa na ubongo (ikiwemo uvimbe wa ubongo)• Mgongo & uti wa …

KAMBI MAALUM YA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KUFANYIKA JANUARI 26 Read More »

Deep Brain Stimulation (DBS): Suluhisho la Kisasa kwa Magonjwa ya Mfumo wa Umeme wa Ubongo

Deep Brain Stimulation (DBS) ni teknolojia ya kisasa ya kitabibu inayotumika kusaidia wagonjwa wenye magonjwa yanayoathiri mfumo wa umeme wa ubongo. Tiba hii hufanya kazi kwa kutumia msukumo mdogo wa umeme unaodhibiti maeneo maalum ya ubongo, hivyo kupunguza au kudhibiti dalili zinazosababishwa na hitilafu za mawasiliano ya neva. Kwa miaka ya hivi karibuni, DBS imeonyesha …

Deep Brain Stimulation (DBS): Suluhisho la Kisasa kwa Magonjwa ya Mfumo wa Umeme wa Ubongo Read More »

Upandikizaji wa Figo: Mwongozo Kamili wa Matibabu, Faida, Na Safari ya Maisha Mapya

Utangulizi: Upandikizaji wa Figo ni Nini? Upandikizaji wa figo ni upasuaji maalumu ambapo figo yenye afya kutoka kwa mfadhili hupandikizwa kwa mgonjwa ambaye figo zake zimeacha kufanya kazi ipasavyo.Figo hiyo mpya huchukua jukumu la kuchuja damu na kuondoa taka mwilini, hivyo kumwezesha mgonjwa kuishi bila kutegemea dialysis na kurejea katika maisha ya kawaida yenye ubora …

Upandikizaji wa Figo: Mwongozo Kamili wa Matibabu, Faida, Na Safari ya Maisha Mapya Read More »

Fahamu Dalili za Mawe Kwenye Mfumo wa Nyongo

Mawe kwenye nyongo hujengeka kimya kimya na taratibu sana tena  bila ya dalili yoyote ya mapema. Lakini kadiri mawe hayo yanavyoongezeka ukubwa au idadi basi dalili huanza kutokea na mgonjwa huweza kuonyesha dalili zifuatazo 1.Dalili ya kwanza — ambayo hutokea mara nyingi— ni maumivu makali upande wa juu kulia wa tumbo. Maumivu haya yanayoweza kuanza …

Fahamu Dalili za Mawe Kwenye Mfumo wa Nyongo Read More »

Travel Insurance Tanzania: Ulinzi wa Safari Yako Unapoenda Nje ya Nchi

Kusafiri nje ya nchi ni jambo la furaha, lakini changamoto zinaweza kutokea wakati wowote bila kutarajia. Kuanzia kuumwa ghafla, kupoteza mizigo, passport, ajali, kucheleweshwa kwa ndege, hadi dharura za kifamilia—mambo haya yanaweza kukusumbua sana kama huna bima ya safari Tanlink Medical Tourism Agency tunakupa Travel Insurance ya kuaminika na gharama nafuu inayokulinda dhidi ya hatari …

Travel Insurance Tanzania: Ulinzi wa Safari Yako Unapoenda Nje ya Nchi Read More »

HAFLA MAALUM YA MADAKTARI KUJADILI NAFASI YA TEKNOLOJIA KATIKA KUKUZA SEKTA YA UTALII TIBA TANZANIA

Katika jitihada za kuikuza sekta ya Utalii Tiba nchini Tanzania, Tanlink Medical Tourism Agency kwa kushirikiana na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) iliandaa tukio maalum lijulikanalo kama Good Doctors Dinner Talk – Kilimanjaro.Huu ulikuwa ni usiku wa kitaalamu uliowakutanisha madaktari bingwa, mabobezi, madaktari wa kada mbalimbali, wataalamu wa lishe, physiotherapists na psychologists …

HAFLA MAALUM YA MADAKTARI KUJADILI NAFASI YA TEKNOLOJIA KATIKA KUKUZA SEKTA YA UTALII TIBA TANZANIA Read More »