FAHAMU CHANGAMOTO YA MBEGU NA NGUVU ZA KIUME

Kitaalamu, mbegu za kiume au sperm cells ndizozinazobeba vinasaba vya mwanaume nakuungana na yai la mwanamke ili kuunda mimba.Uwezo wa mwanaume kumpa mwanamkemimba unategemea ubora na wingi wa mbeguhizi pamoja na nguvu zake za kiume. – Kitaalamu, tunapochunguza mbegu za kiumetunazingatia mambo manne makuu:1) Volume;Kiasi cha shahawa. Kwasababu kwa kawaidamwanaume anatakiwa kutoa angalau 1.5mlkwa mzunguuko …

FAHAMU CHANGAMOTO YA MBEGU NA NGUVU ZA KIUME Read More »