KAMBI MAALUM YA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KUFANYIKA JANUARI 26

TANLINK MEDICAL TOURISM AGENCY kwa kushirikiana na Hospitali ya KCMC – Moshi na Sahyadri Hospital – Pune, India, wanakuletea kambi maalum ya siku 5 (26–31 Januari, 2026) kwa huduma za uchunguzi na matibabu ya kibingwa na bobezi.

Huduma zitakazotolewa ni pamoja na:
• Magonjwa ya kichwa na ubongo (ikiwemo uvimbe wa ubongo)
• Mgongo & uti wa mgongo
• Mishipa ya fahamu
• Magonjwa ya figo na mfumo wa mkojo (watoto & watu wazima)
• Magonjwa ya mfumo wa uzazi kwa wanaume (tezidume & upungufu wa nguvu za kiume)

📍 Mahali: Hospitali ya KCMC, Moshi – Kilimanjaro
🗓️ Muda: 26–31 Januari, 2026

🔔 Usajili wa mapema unahitajika kabla ya tarehe 26 Januari, 2026
Unaweza kujisajili:
• Hospitali ya KCMC – Moshi
• Ofisi za TANLINK Medical Tourism Agency, Posta Mpya – Dar es Salaam
(Haidery Plaza, Ghorofa ya Pili)

📞 Mawasiliano:
0744 735 770 | 0711 98 98 38

Pata huduma za kibingwa bila kusafiri nje ya nchi. Afya yako, kipaumbele chetu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *