Uncategorized

HUDUMA YA KUSIMAMIA USAFIRISHAJI WA WAGONJWA

Je, umewahi kujiuliza ni jinsi gani mgonjwa anaweza kusafirishwa kwa usalama kutoka eneo moja kwenda lingine anapohitaji matibabu maalum? Tanlink Medical Tourism Agency tumebobea katika huduma za kusafirisha wagonjwa (patient transfer services) kwa usalama, weledi na uangalizi wa karibu. Tunahakikisha mgonjwa anafika hospitalini, anapata matibabu anayohitaji na hata kurudi nyumbani bila changamoto. Huduma hii ni …

HUDUMA YA KUSIMAMIA USAFIRISHAJI WA WAGONJWA Read More »

Athari za kuvunjika Mfupa zinavyoweza kusababisha kifo

Kuvunjika kwa mfupa ni tatizo linaloweza kumpata mtu yeyote—iwe ni kutokana na ajali, michezoni au shughuli za kila siku. Bila matibabu sahihi na ya haraka, mgonjwa anaweza kupata adhari za papo kwa hapo, za muda mfupi au za muda mrefu ambazo zinaweza kusababisha ulemavu au hata kupoteza maisha. 🔴 Adhari za papo kwa hapo:• Kuumia …

Athari za kuvunjika Mfupa zinavyoweza kusababisha kifo Read More »

HUDUMA YA USHAURI WA KIBINGWA NA MAONI MBADALA

(SECOND OPINION SERVICE) Tanlink Medical Tourism Agency inakuwezesha kupata huduma maalum ijulikanayo kama SECOND OPINIO SERVICE, Hii ni huduma itakayokuwezesha kupata maoni kutoka sehemu nyingine,kwa daktari/Mtaalamu mwingine ndani na nje ya nchi kama India,Turkey,South Africa,Egypt,South Korea,Thailand,German,Uk ….NK Lakini pia Tutakuwezesha kuwasiliana na kuonana na mtaalamu huyo popote pate duniani kwa kutuma technology ya kisasa ijulikanayo …

HUDUMA YA USHAURI WA KIBINGWA NA MAONI MBADALA Read More »