KAMBI YA YA KIBINGWA NA BOBEZI YA MACHO CHINI YA MADAKTARI KUTOKA MISRI NA TANZANIA KUFANYIKA DAR

Tanlink Medical Tourism Agency kwa kushirikiana na hospitali bingwa ya macho International Eye Hospital na Andalusia Hospital ya nchini Misri wanakuletea Kambi Maalum ya Uchunguzi na Matibabu ya Kibingwa ya Magonjwa ya Macho.

Huduma hii itafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 16 Aprili 2026 katika Hospitali ya International Eye iliyopo Kinondoni Victoria ( karibu na Morocco )

Madaktari bingwa watatoa uchunguzi na matibabu kwa matatizo mbalimbali ya macho ikiwemo:
• Macho kuwa mekundu
• Uoni hafifu
• Mtoto wa jicho (Cataract)
• Pressure ya macho (Glaucoma)
• Madhara ya kisukari na shinikizo la damu kwenye macho
• Magonjwa ya Retina
• Magonjwa ya chamber ya mbele na ya nyuma ya macho

Usikose nafasi hii muhimu ya kupata huduma ya kibingwa karibu na wewe.
Jisajili kabla ya tarehe 13 Aprili 2026 kwa kufika –
• International Eye Hospital
au
• Ofisi za Tanlink Medical Tourism Agency zilizopo Posta Mpya, Mtaa wa India na Kisutu, Haidery Plaza – Ghorofa ya Pili.

📞 Mawasiliano:
0760 003 535
0654 725 770

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *