KAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI YA MFUMO WA MKOJO KUFANYIKA AGA KHAN DAR ES SALAAM

HOSPITALI YA AGAKHAN YA JIJINI DAR ES SALAAM KWA KUSHIRIKIANA NA
YASHODA HOSPITAL KUTOKA JIJINI HYDERABAD NCHINI INDIA CHINI YA URATIBU
WA TANLINK MEDICAL TOURIM AGENCY , WANAKULETEA HUDUMA YA KAMBI YA
UCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KWA MAGONJWA YA:
 MFUMO WA MKOJO KWA WANAUME
 MFUMO WA MKOJO KWA WANAWAKE
 MFUMO WA MKOJO KWA WATOTO
 MFUMO WA UZAZI KWA WANAUME
KAMBI HII ITAHUSISHA UCHUNGUZI NA MATIBABU KWA KUTUMIA TECHNOLOGY
ZA KISASA ZIKIWEMO:
 MATIBABU YA TATIZO LA TEZIDUME KWA KUTUMIA TECHNOLOGIA YA MVUKE
(REZUME WATER VAPOUR THERAPY)
 MATIBABU YA TATIZO LA TEZIDUME KWA KUTUMIA LASER (HOLMIUM LASER
ENUCLEATION OF THE PROSTATE)
 HUDUMA YA KUPIMA SARATANI YA TEZIDUME KISASA (TRUS BIOPSY)…..NK
BAADHI YA MAGONJWA YATAKAYOHUSIKA KWENYE KAMBI HII NI PAMOJA NA
 TATIZO LA MAWE KWENYE FIGO
 TEZIDUME KUVIMBA (BPH)
 SARATANI YA TEZIDUME
 UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
 MAGONJWA YA KUZALIWA YA MFUMO WA MKOJO KWA WATOTO
 NJIA YA MKOJO KUWA NA MAKOVU…NK
HUDUMA HII ITATOLEWA KWA MUDA WA SIKU NNE YAANI TAREHE 03 HADI 06 YA
MWEZI WA TISA (SEPTEMBER) MWAKA 2026. NI KATIKA HOSPITALI YA AGAKHAN
ILIYOPO JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA MAKUTANO YA BARABARA YA OBAMA NA
UFUKONI.
ILI KUSHIRIKI KATIKA KAMBI HII YA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIBINGWA NA
BOBEZI UNATAKIWA KUJISAJILI KABLA YA TAREHE 03 YA MWEZI WA TISA MWAKA
2026, KWA KUFIKA KATIKA HOSPITALI YA AGAKHAN AU KATIKA OFISI ZA TANLINK
MEDICAL TOURISM AGENCY ZILIZOPO JIJINI DAR ES SALAAM, WILAYA YA ILALA,
POSTA MPYA, MTAA WA INDIA NA KISUTU, JENGO LA HAIDERY PLAZA GHOROFA YA
PILI (SECOND FLOOR).
KWA MAWASILIANO ZAIDI WAWEZA WASILIANA NASI KWA NUMBER: –
0663-58-18-15
AU
0790-33-34-24

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *