KAMBI YA MATIBABU YA KIBINGWA NA BOBEZI KWA MAGONJWA YA MACHO KUFANYIKA DAR ES SALAAM

Tanlink Medical Tourism Agency kwa kushirikiana na International Eye Hospital – Dar es Salaam na Andalusia Hospital kutoka Cairo, Misri, wanakukaribisha kwenye kambi maalum ya uchunguzi na matibabu ya kibingwa na ubobezi wa magonjwa ya macho.

Huduma zitakazotolewa ni pamoja na:
✅ Macho mekundu
✅ Uoni hafifu na kupungua uwezo wa kuona
✅ Mtoto wa jicho (Cataract)
✅ Pressure ya macho (Glaucoma)
✅ Magonjwa ya macho yanayosababishwa na kisukari na shinikizo la damu
✅ Magonjwa ya Retina
✅ Magonjwa mengine yote ya macho

📅 Tarehe: 29 Juni – 03 Julai 2026
📍 Mahali: International Eye Hospital, Victoria karibu na Morocco, Dar es Salaam

⚠️ Jisajili kabla ya tarehe 29 Juni 2026 International Eye Hospital au ofisi za Tanlink Medical Tourism Agency, Haidery Plaza, Ghorofa ya Pili, Posta Mpya, Dar es Salaam.

📞 Kwa mawasiliano:
0654 725 770
0760 003 535

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *