(SECOND OPINION SERVICE)
- Je,umeshawahi kufanya vipimo na baada ya kupewa majibu ukatamani upate tafsiri ya majibu yako kutoka sehemu nyingine ili ulinganishe?
- Je,umeshawahi kuambiwa una ugonjwa Fulani na ukatamani upate maoni ya mtaalamu mwingine kutoka sehemu nyingine ili ulinganishe?
Tanlink Medical Tourism Agency inakuwezesha kupata huduma maalum ijulikanayo kama SECOND OPINIO SERVICE, Hii ni huduma itakayokuwezesha kupata maoni kutoka sehemu nyingine,kwa daktari/Mtaalamu mwingine ndani na nje ya nchi kama India,Turkey,South Africa,Egypt,South Korea,Thailand,German,Uk ….NK
Lakini pia Tutakuwezesha kuwasiliana na kuonana na mtaalamu huyo popote pate duniani kwa kutuma technology ya kisasa ijulikanayo kama TELEMEDICINE.
Iwapo unahitaji huduma hii usisite kuwasiliana na Tanlink Medical Tourism agency kwa kufika katika ofisi zetu zilizopo Jijini Dar es salaam,Posta mpya mtaa wa India na kisutu,Jengo la haidery plaza,Ghorofa ya pili au waweza kuwasiliana nasi kwa kupiga number:-
- 0786 33 34 64
- 0 763 36 34 64

