Travel Insurance Tanzania: Ulinzi wa Safari Yako Unapoenda Nje ya Nchi

Kusafiri nje ya nchi ni jambo la furaha, lakini changamoto zinaweza kutokea wakati wowote bila kutarajia. Kuanzia kuumwa ghafla, kupoteza mizigo, passport, ajali, kucheleweshwa kwa ndege, hadi dharura za kifamilia—mambo haya yanaweza kukusumbua sana kama huna bima ya safari

Tanlink Medical Tourism Agency tunakupa Travel Insurance ya kuaminika na gharama nafuu inayokulinda dhidi ya hatari zote unazoweza kukutana nazo ukiwa safarini.


Kwa Nini Unahitaji Travel Insurance?

1. Matibabu ya Dharura Unapougua Nje ya Nchi

Gharama za matibabu nje ya Tanzania ni kubwa. Travel insurance inakusaidia kupata:

  • Huduma ya dharura
  • Kulazwa hospitalini
  • Upasuaji
  • Msaada wa madaktari

2. Kusaidia Familia Endapo Msafiri Atapoteza Maisha

Travel insurance inashughulikia gharama za:

  • Kurudisha mwili nyumbani
  • Taratibu za usafirishaji
  • Huduma za usaidizi kwa familia

3. Fidia Endapo Utapata Ajali au Ulemavu

Bima yako inalinda maisha na uwezo wa kupata malipo kulingana na aina ya tatizo lililotokea.

4. Msaada Endapo Utapata Taarifa za Msiba na Unahitaji Kurejea Haraka

Inakusaidia kufikia tiketi za dharura na msaada wa safari ya haraka.

5. Ulinzi Unapopoteza Passport

Utapata:

  • Msaada wa kupata Passport ya muda
  • Gharama za usaidizi wa consular services

6. Fidia Unapopoteza Mizigo

Inalipia:

  • Mizigo iliyopotea
  • Mizigo kuchelewa kufika
  • Vitu vya muhimu vilivyokuwa ndani ya mzigo

7. Kufidiwa Unapocheleweshwa Safari

Ikiwa ndege imeahirishwa au imechelewa sana:

  • Unafidiwa malazi
  • Chakula
  • Usafiri
  • Athari kutokana na kuchelewa huko

✔️ Kwa Nini Uchague Tanlink Medical Tourism Agency?

  • Tunatoa travel insurance bora na ya haraka
  • Tunashirikiana na kampuni za kimataifa za bima
  • Tunakushauri bima inayokufaa kulingana na nchi unayoenda
  • Gharama ni nafuu sana
  • Huduma zetu ni za haraka, za kitaalamu na za kuaminika

📍 Wasiliana Nasi Kupata Travel Insurance Yako

Ofisi: Posta Mpya – Haidery Plaza, Ghorofa ya Pili, Dar es Salaam
Simu:
📞 0786 33 34 64
📞 0763 36 34 64

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *